January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Umekojoa mkuu?
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Vipi bado hujavua?
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
 
Vijana wa upinzani walichobaki nacho ni ramli chonganishi ,wakiwa na wivu utasikia fulani hawezi kutumbuliwa kumbe lengo atumbuliwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom