January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,073
114,571
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
 
Mkuu usijiapize kwenye hizi siasa zetu za kulindana na kutemana inapo bidi.... mimi siwez jiapiza kwa lolote lile hata kama ni kutema mate chini kwa siasa za tz.... " niombeeni kwa Mungu" zenj haki hakuna; Umeya Dar; wapiga kura 2 Kilombero weka ndani kubalace no; uchaguzi tanga hautarudiwa msiponkubaliana tunavunja halmashauri; Je Mungu tunae mjua anapenda hizi double standards kweli?? Ni Mungu yupi wanasema tuwaombee?? haya ni machache tu ya kuonyesha unafiki wa siasa zetu.... usijiapize kwa mnafiki mkuu, chochote kinawezekana.....
 
Alikatwa Lowasa na nchi IPO salama mpaka Leo pamoja na kusema Lowasa hakatwi...sembuse Makamba.

Akifukuzwa Serikalini, ajiuzulu Ubunge na ahamie chama chetu CDM..huku atasamahewa dhambi zote kama anazo na kutangazwa Mtakatifu...Wanachama tutawaambia tatizo Mfumo, na kama anakosa afikishwe Mahakamani.
 
Watumishi wengi tu wametumbuliwa bila ya watumbuaji kuwa na ushaidi , nilitegemea JPM kumtumbua February toka jana kwa minajili ile ile ambayo watumishi wengine walifukuzwa...

JPM mtumbue February tujue siri ya ushindi wako, in short huu ni mtego wa panya na umekaa bibaya.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.

Sitegemei kama atanyang'anywa nafasi zake, lakini mbio za sakafuni...
 
Back
Top Bottom