January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Mkuu huo ni ukweli mtupu ingawa vijana wa bumbuli naona leo wameshinda jf mishpa imewatoka kwa kumtetea makamba
 
Makamba kamba ishakatwa unabembea kwa uzi , yaani ukipona haya basi tutakukumbusha ya mitiani ya ngalenalo
 
Hakika siku zinahesabika, wote waliotoa ahadi huku, wasisahau kutimiza ahadi zadi...
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Atumbuliwe tu maana hata kama aliiba hawezi kujitokeza kuthibitusha kuwa tumeiba kula ccm kuingia madarakani. Na Magu hategemei kula za kuiba tena 2020.
Tumfanye tu kama ndom ili kujenga kutoa fundisho kwa gambas wote
 
Hahahahah CDM mmeamka kutoka mlikoiweka rehani CDM yenu,hadi mje.mpate kick kwa mlivyojichanya sidhan kama ni sasa.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.

Mkuu niseme Ukweli Umetisha, Napenda argumentation zenye Vigezo hivi. Ingawa Kufukuzwa itakuwa Vizuri, Ikitokea Ni Muujiza wa Musa. Na hata Ikitokea, maadamu CCM Bado iko Madarakani Haitasaidia Kitu.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Pole sana Mkuu naona bado upo usingizini Magufuli habebi mtu haijalishi ulikuwa nani au ulifanya nini as long as umelikoroga lazima ulinywe na kwa Hilo Huyu dogo haponi. Binafsi nasubiri tu press release ya ikulu full stop
 
hii kitu niliwahi kukisema makamba ndio alikuwa roho ya CCM kwenye uchaguzi,makamba hakupelekwa kuwa naibu wziri wa mawasiliano kibahati ni mkakati toka zamani
bila makamba huyo magufuli ni sawa na bure.
 
Hata akiwa mshirikina au injinia au sijui nini....! Zikifika zimefika....
 
Marofa katka ubora wetu, tuliaza na mungu na tutamalza mungu !mungu ibariki Tanzania mngu mbariki rais wetu edo
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Hata Fungu la mapesa ya kuvuruga Uchaguzi wa Zanzibar na meya jijini Dsm , yeye ndiyo mjanja wao kwenye mbinu za kimafia juu ya Ukawa pamoja na mbinu za kishirikina wakati wa kampeni alikwapua bilion 1.7 za kampeni Magufuli akapagawa lakini akatulizwa na utitiri wa waganga wa kienyeji ambao aliwatoa Gambia , Amazon, Mongolia na Nchi zingine kibao . Ni vigumu Kwa Magufuli kutumbua JIPU la January
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Hakuna Msafi ccm
 
Watumishi wengi tu wametumbuliwa bila ya watumbuaji kuwa na ushaidi , nilitegemea JPM kumtumbua February toka jana kwa minajili ile ile ambayo watumishi wengine walifukuzwa...

JPM mtumbue February tujue siri ya ushindi wako, in short huu ni mtego wa panya na umekaa bibaya.
Magu akimtumbua January watamroga sana anajua kuwa January anamiliki kikundi kikubwa sana cha waganga wa kienyeji tokea Nchi mbalimbali .
 
ImageUploadedByJamiiForums1457286441.446752.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom