January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Kutemeshwa hatatemeshwa..

Atapangiwa kazi nyingine
 
Mla rushwa huyu Makamba kakosana na JK aliposema serikali yake ilijaa nepotsim

Walikuwa wanajua siri hizi wakawa wanamlinda,sasa yy kamwaga mboga wenzake wanamwaga mboga

Huyu ni mla rushwa mkubwa sana
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....

Kuna watu walisema ni mwenda wazimu pekee atakayemkubali Lowassa!

Leo Lowassa ni mtoto pendwa, na wale tuliokula nao mbaazi tumewatema eti ni wasaliti, tunakula nyama na wapya.
 
Hata akifukuzwa hawezi sema chochote. Ni hatua hatari akifanya hivyo.
 
Mtaongea sana, Lakini JMakamba atabaki JMakamba, Mungu kamkweza, maneno hayawezi mshusha. Muitaliano amecheza deal ambao yeye mwenyewe anaonekana ni Jambazi!! Analarisha ujambazi kumtuhum mtu. Nae Kimambi akiri hana, anatumia cerebrities ya Instagram kutetea Ujambazi wa rafiki yake Muitaliano baada ya kumshauri aende Mahakamani. Anategemea Jeshi la wambea Instagram kujenga hoja kuhusu J Makamba.Shame on u Kimambi!
 
naona umetaitiwa unasutwa na umesutika.binti kafanikiwa kukugeuza binti,anakuvisha bikini umetulia tu.na anaelekea kukuvisha kanga moko akulete mtaani...stuka.back to the topic
Huyu kapaniki bure anataka kuharibu topic kwa matusi yake hataki kutetea hoja huyu gamba zee
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mkuu mtaa ule kanuni ni moja tu-CHAMA KWANZA MTU BAADAE,ukinuka tu watu wanakutema hamna kuangaliana usoni,au umesahau "mzee"alivyokatwa July 2015 kule Chimwaga?
 
Huyu kapaniki bure anataka kuharibu topic kwa matusi yake hataki kutetea hoja huyu gamba zee
Naona mmekuja kusaidiana bawacha na bavicha.Mimi kwangu ccm cdm act wazalendo zote nitakataka hakuna msafi ndani ya vyama vyenu.

Double stand ndio haitakiwi we punguwani.

Pole sana.
 
Makamba kamba ishakatwa unabembea kwa uzi , yaani ukipona haya basi tutakukumbusha ya mitiani ya ngalenalo
Mkuu hivi makamba siyo member wa jf?mbona hajitokezi?kuna issue ya garanosi hajawahi kuikanusha pia
 
Mimi bidhaa kama wewe situmii,btw vipi umempeleka mdogo wako kuwa house girl mana div 4 yake haimpeleki popote.Au unaungana nae kwenye iyo biashara unayowauzia wakina OKW Boban Sunzu?.

Back to the topic.
hapa ndo unaonesha utupu wa akili yako.hata nikikugonga utakuja kuntangaza humu kwamba nimepiga goli moja tu?
 
Alikatwa Lowasa na nchi IPO salama mpaka Leo pamoja na kusema Lowasa hakatwi...sembuse Makamba.

Akifukuzwa Serikalini, ajiuzulu Ubunge na ahamie chama chetu CDM..huku atasamahewa dhambi zote kama anazo na kutangazwa Mtakatifu...Wanachama tutawaambia tatizo Mfumo, na kama anakosa afikishwe Mahakamani.
Lini iyo umehamia cdm?
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Rais Pombe akijiridhisha na matendo yake atamfukuza January Makamba kama barmaid anavyomfukuza mfanyakazi wake wa ndani. Subiri mwone.
Mnampa January umaarufu ambao hata yeye mwenyewe anajishangaa na nyie anawashangaa. Atafukuzwa na ataufyata na chochote kisitokee.
 
Magu akimtumbua January watamroga sana anajua kuwa January anamiliki kikundi kikubwa sana cha waganga wa kienyeji tokea Nchi mbalimbali .
Mbona unanitonesha kidonda cha marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana, labda naye .........
 
Mtihan wa kwanza wa magufuli,sisi wapinzan tunaanzia hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom