January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Au ungefika basi mpaka Morogoro tu maana Dar wamesha zoea kupishana na machizi.
 
Nimeacha kujipa presha kwenye siasa za Tanzania tangu makamanda walipompokea LOWASA NA KUMFANYA KUWA MGOMBEA BILA HATA YA KUFUATA TARATIBU.....tangu hapo siasa za hapa kwetu nimebaki nazo tu mdomoni na sio moyoni....
 
Magufuli mfukuze february nikupe kimada wangu bure kabisa maana wewe kwa kula vimada hujambo sasa timua february nikupe kimada wangu yaani
 
Huyu kijana wamemlea vibaya hivyo kumfukuza sidhani kama ni issue rahisi.
 
serikali ni kitu kingine kabsaaa ,anaweza akatemeshwa na kusiwe na athari zozote kichama na serikali!
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.

afukuzwe hata kama hana kosa??
 
Mzigo anaweza temeshwa tena akabaki kimya kama hamuifahamu CCM. Ina wenyewe. Sidhani kama amesahau yaliyowapata akina Kombe, Kolimba, n.k. kwa kuvunja kiapo cha "omertà".
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Hakuna sababu ya makamba jr kufukuzwa, kujiuzuru, au vinginevyo, hakuna sabab ya hii isue kuwa kubwa, ila inakuzwa na watu wanaotaka rais atumie mitandao ku-empliment altitude yake kwa wananchi,

Hakunasaba ya rais kumfuta kazi kwa kuwa jambo lenyewe ni wapenzi wawili, mmoja anaona hajaridhika mwingine anamkomoa, ugomvi wa mapenzi unaamliwa na wapenzi wenyewe..

Pamoja na mapungufu yake makamba jr hli hahusiki kabisa, na hvyo ningekuwa mm ingekuwa ni sawa na kumpa kiki makamba ili mitandao imseme, ili awe juu zaidi, vinginevyo hzi ni story tu za vijiweni na wala si upepo wa kisiasa..
 
a) Ulijiwekea utaratibu kwa kila
"mtanzania" aliyetaka kufika
ikulu kwa shughuli za kumuona
rais wake ilikuwa ni lazima
akulipe dola 5,000 hadi dola
15,000 ndipo umuorodheshe
kwenye kitabu cha miadi ya
kumuona rais, sijui kama
ulikuwa ni utaratibu wa ikulu
ama ilikuwa mgodi wako tu.
 
Hii nairudia tena,mzee wangu kwa ustawi na uhai wa chama ni bora kukaa kimya na hili pia litapita haina haja ya kufukuzana kisa mitandao ya kijamii uyu February ukimgusa tu nae atakugusa na hana cha kupoteza kabisaa pia lipo lile kundi la kukosa wanamsubiri uyu kijana waungane nae hakika watamvua nguo kila ulieambatana nae ni bora uvunge kwani utafanywa nini kumbuka aliekutangulia alikuambia hii vita ngumu maana anajua umezungukwa na watu gani kwa hili UKICHOMEKA hakika HAUCHOMOI wapo wanaosubiri ubonyeze hiyo button tu wafanye sherehe.
Usimsahau Marope Senior aseee ni fundi wa knock out yule mzee alafu anapiga ngumi nyingi sehemu moja hasa likija suala Junior yeye angalii maslahi ya chama wala Taifa atamtetea Junior kwa nguvu zake zote sipati picha tutakavyoaibika,Ivi ahadi ya ukishindwa kuwashughulikia MAFISADI uliitoa lini mweeeee naona majanga yanafuatana ila ile inaweza kukanushwa kwa mangapi tumekataa hatujasema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom