January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Kangi bhana,mbona ulituahidi wakati wa sare za Askari hewa ila ukuvua nguo
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
We nae ulijichanganya, mtu ambaye hawezi kutemwa ni DAB
 
Tofauti ya tengua teua hii na ilizopita ni kwamba wateule hawajaambiwa wanaapishwa lini ila utenguzi unaanza mara moja ili kupisha ofisi. Na uzuri wa utenguzi wa kushtukiza ni kuwa mtenguliwa huwa hapati nafasi ya kuiba fasta fasta.
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....

Dah!!

Mkuu, kweli tunapaswa kuweka akiba ya maneno yetu.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Huyu jmaa bado hajatembea uchi mpka saivi au!???
 
Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Hatari sana...
Bravo
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Ww jamaa acha utapeli.....
Vua kyupi tukuone.....
Ahadi ni deni....
 
Sasa wewe ulitaka awe waziri mpaka aingie kaburini?! Unajua post hii ya lini, na nini kilipelekea iwe vile! Jielimishe!
Jielimishe wewe alisema hatofukuzwa sasa kafkuzwa ajipendekeze vizuri sivyo naubunge atanyang'anywa.
 
MAGUFULI siyo KIKWETE.MAGUFULI siyo mwanasiasa,MAGUFULI hana rafiki na wanafiki ndani ya ccm au ndani ya serikali anayoiongoza.MAGUFULI ni mwanaume aliyeshinda mashambani akigombana na ng'ombe.MAGUFULI siyo mtoto wa dar.ukimpima utaumia wewe
 
Wachumia matumbo awarkeebishagwi MPAKA TAMU YENYE HAMJ INAPOONDOKA
Kuna watu humu huwa tunawaambia wabwabwaja maneno "weken akiba ya maneno".
Usinene ukamalaNjoo ule matapish yako sasa
 
Vipi kwa dab
MAGUFULI siyo KIKWETE.MAGUFULI siyo mwanasiasa,MAGUFULI hana rafiki na wanafiki ndani ya ccm au ndani ya serikali anayoiongoza.MAGUFULI ni mwanaume aliyeshinda mashambani akigombana na ng'ombe.MAGUFULI siyo mtoto wa dar.ukimpima utaumia wewe
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Ahahahha.
Teknolojia inakuumbua leo mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom