January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Usitembee mkuu ukiwa "kibwena"!Panya anakula mkia wake.Na halafu,usihuzunike kwamba waridi lina miba bali ufurahi kwani miba ndiyo imebeba waridi.😂😂😂😂😂😂
 
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Eti hawa ndio makamanda, ha ha ha.
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
 
Mimi nitatembea uchi siku tatu mfulululizo na kujiua
yessu wangu.!

ww si unabebaga box huko,nani atasafirisha huo mzoga hadi huku bongo.!?

Okwi hivi sasa anatembea uchi kuelekea ofisi za chama,Mussolini naye anakojoa hovyo huko Tunduma

usijiue bhana,maisha ni magumu hata kule kwa Sir God

Tembea uchi kwa hizo siku 3 na picha utume;INA tosha tyuuu!
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
jiwe anakula matapishi yake mwenyewe
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Zamu yako kutembea uchi dar nzima imefika
 
Mi Sikai sana hapa dar narudi kwetu na hamu kukuona ùkiwa uchi niko hapa maeneo ya ubungo maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom