Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,619
- 128,472
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Mkuu niko hapa Tunduma, unakuja saa ngapi na mkojo wako watu wakuone?
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Aje mpaka huku msakuzi atanikuta namsubiri hapa njia panda ya kijomaNakusubiri mbez mwisho hapa
Acha porojo tunakusubiri mtaani kwetu ukikatiza tako waziElewa nyakati zinabadilika
ahadi ni deni Broh,itimize.Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Haya uanzae sa hiviMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Ila OBS inabidi upunguze kuapia sana. Nakumbuka ulivyochimbaga biti Chadema wasipompitisha Dr Slaa kugombea alafu ukabadili gia angani sambamba na mwenyekiti.Okw Boban Sunzu naomba utembee uchi Dra Nzima please!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i will bookmark this thread ...!! nakumbuka yule jamaa aliyesema zito akishinda atatembea uchi ...
Bado taarifa tulizonazo ataanzia mitaa ya tabata baracuda tupo tunaksubiri hapa