Kama kinacho endelea kuhusu mabadiriko ni sahihi;
Ombi language kwa waziri wa mazingira: Hitaji na takwa la kuwepo kwa Noise monitor kwenye kumbi za starehe, bar, makanisa, misikiti, magari ya matangazo, kumbi, ngoma na miziki mitaani, liendelee kutekelezwa.
Sambamba na hilo, zuio la kupiga mziki usiku sehemu za bar, starehe, makanisa, misikiti nk, liendelee.
Noise monitor, noise monitor nimuhimu kwa usalama wa ngoma za masikio yetu na usitawi wa afya ya wananchi na viumbe hai wengine!
Waziri mpya wa mazingira, haya yaendelezwe.