Tatakushitaki kututumia kututumia msg wakati hatujaomba ututumie. Nakumbuka siku hiyo ya kupitisha mswaada ulikomaa sana matokeo yake wewe mwenyewe unaanza kuvunja sheria.
Sawa mkuu andaa. Hati ya nyumba inahusikaje sasa?
Yaaaaani tatizo letu ni ushabiki usiokuwa na tija sababu kupata taarifa sio kosa hata kidogo sasa mara ngapi unatumiwa sms za nyamachoma festival na mambo mengine kama hayo...nauliza kama umeona taarfa haikuhusu wala huna habari nayo achananayo ipuuze na huu ndouungwana sio kutuletea uzi usiokuwa na maana hapa.....
January Makamba mtia nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM leo amesababisha wanachi kutoa machozi katika Wilayani ya Misenye mkoani Kagera, January yuko kwenye harakati ya kutafuta wadhamini.
January ambaye amevunja record ya kupata wadhamini wengi kuliko mgombea yeyote aliyefika katika ardhi ya Kagera, aliufanya umati kububujikwa na machozi pale alipomkumbuka Bibi yake kipenzi aliyefariki mwaka 2010, Machi
Akiongea kwa kuwakumbusha mambo aliyoyafanya akiwa na umri wea miaka tisa akiwa analelewa na Bibi yake kijijini pale, alisema Tulikuwa tunaishi wawili tu, Bibi amefariki hakuniacha Mbunge wala Waziri ..(akanyamaza kidogo) , amenifundisha mengi jinsi ya kula, nidhamu, heshima na mambo mengi, nafikiri huko aliko anafurahi
Aidha katika hotuba yake ambayo wanachi walikuwa makini kuisikiliza alibainisha mambo kadhaa lakini kubwa ikiwa kero ya fedha kiduchu wanayopata wakulima wa miwa wa Wilaya ya Misenye na ukosefu wa maji safi na salama
Sawa mkuu andaa. Hati ya nyumba inahusikaje sasa?
Kunajambo moja nataka nikushauri usiku wa leo samahani lakini kama ntakuwa naingilia mtazamo wako kwa kile unachosimamia..siku zote katika hii dunia hakuna atakayefanya kila jambo na kukupendeza hivyo tuishi ktk kuvumiliana,jus learn to ignore little things coz to be honest i dont see any need of u to post dat thing here,for me its very minorSijawahi kupata sms ya hayo mambo ya nyamachoma ka wewe kwako ni sawa basi endelea. Lakini kwa mujibu wa sheria ya cybercrime ni kosa ndio maana namtaka aache
Kunajambo moja nataka nikushauri usiku wa leo samahani lakini kama ntakuwa naingilia mtazamo wako kwa kile unachosimamia..siku zote katika hii dunia hakuna atakayefanya kila jambo na kukupendeza hivyo tuishi ktk kuvumiliana,jus learn to ignore little things coz to be honest i dont see any need of u to post dat thing here,for me its very minor