Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Yaaaaani tatizo letu ni ushabiki usiokuwa na tija sababu kupata taarifa sio kosa hata kidogo sasa mara ngapi unatumiwa sms za nyamachoma festival na mambo mengine kama hayo...nauliza kama umeona taarfa haikuhusu wala huna habari nayo achananayo ipuuze na huu ndouungwana sio kutuletea uzi usiokuwa na maana hapa.....
Wewe ndio unaona hauna maana,kwa wengine una maana sana tu,usiwapangie watu nini cha kuongea,na wewe ungekuwa wa maana zaidi kama ungeupuuza hii mada!