Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Labla akulipe kwa $ utapata faida ila akikulipa kwa tsh hapo lazma uingie mfukoni kumshinda na hasara juu!
Umeonaaee, hata kwa $ aisee nina mashaka maana anaweza jikuta kauza nyumba yake na bado akaangukia pua, chezeaa wenye pesa