January Makamba acha mchezo huu mara moja

January Makamba acha mchezo huu mara moja

Nahawa wamiliki wa mitandao waache kutumiwa kihuni na wanasiasa kutulazimisha kula au kupokea tusichokihitaji
 
Hiyo ndio CCM kazi kukandamiza watu wa kipato cha chini tu na kujiona wao wamezaliwa juu ya sheria anyway kila jambo lina mwanzo na mwisho na ipo siku itafika mwisho wao
 
Kama Nilivoipokea
 
Attachments

  • 1435247270790.jpg
    1435247270790.jpg
    28.1 KB · Views: 520
Huyu Makamba sijawahi kuwa na Imani nae hata kidogo. Na kwa hili la meseji hata mimi nimetumiwa na hapo ndipo nikazidi kukosa imani na kiongozi huyu kijana kwani hana tofauti hao wengine ni HYPOCRITE na CORRUPT kama wengine. Nakumbuka ile siku walopitisha lile Li sheria lao la CYBER crime jamaa alikuwa anakataa mapendekezo ya Akina Lisu na Leo anatuma msg bila ridhaa yetu. Anakula matapishi yake mwenyewe. SHAME ON YOU!
 
Mnahubiri Technolojia na Utandawazi na mnakataa matumizi yake. Watu wa ajabu sana nyie. Hivi zile meseji za mpesa, tigo pesa, kabang na zingine huwa mnaziomba zije au mnajiunga? Haikuvutii ipotezee.
 
mie pia nililipata hilo msj.

Na nafikiri hii inadhihirisha level ndogo ya kufikiri kwa huyu jamaa.

HAFAI.
 
Huyu Makamba sijawahi kuwa na Imani nae hata kidogo. Na kwa hili la meseji hata mimi nimetumiwa na hapo ndipo nikazidi kukosa imani na kiongozi huyu kijana kwani hana tofauti hao wengine ni HYPOCRITE na CORRUPT kama wengine. Nakumbuka ile siku walopitisha lile Li sheria lao la CYBER crime jamaa alikuwa anakataa mapendekezo ya Akina Lisu na Leo anatuma msg bila ridhaa yetu. Anakula matapishi yake mwenyewe. SHAME ON YOU!

Halafu mijitu inakuja hapa kumtetea. Yaani watanzania sisi ni wajinga kwelikweli
 
Back
Top Bottom