Anamatatizo huyu eti kwenye hotuba yake mlimani city alisema atatumia technology ya hali yajuu na yakisasa kufanya mikutano na wananchi nikashanga tecno yenyewe ni Skype huyu sijui anaona watu wote ni wanakijiji???
Ni PM namba yako
Hahaha mimi sijaisoma nime I delete fastaa
Kwanza umenitumia kupost kitu kama hiki, mara ngapi umepata sms kutoka matanagazo ya biashara, kama sheria ya cyber crime, inakataza kumtumia ujumbe mtu usiemjua ni kosa basi tutafungwa wengi, wewe ni team wa mgombea mwingine, Janauary amekuomba hajakulazimisha, hajakutukana, kama hutaki achana nazo, kuandika huku, unaonesha uwezo Wako mdogo wa kufikiri, unaudhika na vitu vidogo, nenda kwa mwana sheria yoyote, ale hela zako kama unazo coz unaonekana choka mbaya, kupata ujumbe kwa simu au mtu kuomba akina jukwaani ni sawa. Acha kule ta thread za kitoto.
Mbona hiyo sms haina shida mkuu...mbona unapokeaga sms za kutorithika nazo nyingi tu ..lakin umeiona ya makamba? if ur not interested achana nayo hivyo....
Kwanza umenitumia kupost kitu kama hiki, mara ngapi umepata sms kutoka matanagazo ya biashara, kama sheria ya cyber crime, inakataza kumtumia ujumbe mtu usiemjua ni kosa basi tutafungwa wengi, wewe ni team wa mgombea mwingine, Janauary amekuomba hajakulazimisha, hajakutukana, kama hutaki achana nazo, kuandika huku, unaonesha uwezo Wako mdogo wa kufikiri, unaudhika na vitu vidogo, nenda kwa mwana sheria yoyote, ale hela zako kama unazo coz unaonekana choka mbaya, kupata ujumbe kwa simu au mtu kuomba akina jukwaani ni sawa. Acha kule ta thread za kitoto.
jina unalotumia limeakisi maneno uliyoandika "kishombo"zaidiJanuary Makamba mtia nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM leo amesababisha wanachi kutoa machozi katika Wilayani ya Misenye mkoani Kagera, January yuko kwenye harakati ya kutafuta wadhamini.
January ambaye amevunja record ya kupata wadhamini wengi kuliko mgombea yeyote aliyefika katika ardhi ya Kagera, aliufanya umati kububujikwa na machozi pale alipomkumbuka Bibi yake kipenzi aliyefariki mwaka 2010, Machi
Akiongea kwa kuwakumbusha mambo aliyoyafanya akiwa na umri wea miaka tisa akiwa analelewa na Bibi yake kijijini pale, alisema Tulikuwa tunaishi wawili tu, Bibi amefariki hakuniacha Mbunge wala Waziri ..(akanyamaza kidogo) , amenifundisha mengi jinsi ya kula, nidhamu, heshima na mambo mengi, nafikiri huko aliko anafurahi
Aidha katika hotuba yake ambayo wanachi walikuwa makini kuisikiliza alibainisha mambo kadhaa lakini kubwa ikiwa kero ya fedha kiduchu wanayopata wakulima wa miwa wa Wilaya ya Misenye na ukosefu wa maji safi na salama
Wanatunga sheria wao wanvunja wao. Tukivunja sisi kesi.
January Makamba mtia nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM leo amesababisha wanachi kutoa machozi katika Wilayani ya Misenye mkoani Kagera, January yuko kwenye harakati ya kutafuta wadhamini.
January ambaye amevunja record ya kupata wadhamini wengi kuliko mgombea yeyote aliyefika katika ardhi ya Kagera, aliufanya umati kububujikwa na machozi pale alipomkumbuka Bibi yake kipenzi aliyefariki mwaka 2010, Machi
Akiongea kwa kuwakumbusha mambo aliyoyafanya akiwa na umri wea miaka tisa akiwa analelewa na Bibi yake kijijini pale, alisema Tulikuwa tunaishi wawili tu, Bibi amefariki hakuniacha Mbunge wala Waziri..(akanyamaza kidogo) , amenifundisha mengi jinsi ya kula, nidhamu, heshima na mambo mengi, nafikiri huko aliko anafurahi
Aidha katika hotuba yake ambayo wanachi walikuwa makini kuisikiliza alibainisha mambo kadhaa lakini kubwa ikiwa kero ya fedha kiduchu wanayopata wakulima wa miwa wa Wilaya ya Misenye na ukosefu wa maji safi na salama
Hiyo ndo dawa ya text hivyo...