Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Ukiwa na hela nyingi hata hizo sehemu utaanza kuogopa kwenda Kwa sababu utakuwa unahofia usalama wako.

So hao unaowaona hapo ,ni Waze Wa tukipata tunakula bata tukikosa tunatulia.


Endelea kuikimbiza sarafu kuna MUDA utakfika utakuwa unakula bata na sio anasa.
 
Pole xana, pia hongera kwa kukubali fedheha na aibu ili usave 4000 yako kuliko kupoteza ela yako ili tu ufiche aibu then badae kuanza kuijutia...kwa maisha ya mtanzania wa hali ya chini kununua maji kwa 4000 ni ukichaa wakati hiyo ela unapata chapati 10 na kikombe cha chai kwa mama lishe, pia hao uliowakuta huko sio wote wanaishi maisha yao halisi wengi tu wanafake maisha so wasikutishe sana!
Wala Bata ndio wanaotoboa kuliko mabahili
 
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.

Pale kona ya Bwiru ungeenda hata Diamond au the dream ukapooze machungu.

Ndo maana nikienda kiwanja kama vitu ni ghali TIN # ya kampuni hii hapa kichwani, naclaim fiscalised receipt, input tax inasaidia kupunguza tax liability. Na hao Cask lazima ni VAT registered.
 
Nlienda samak samak pale juu Kuna ka VIP flan iv...kuulizia kvant nkaambiwa elfu 50...nliondoka tu cz huku kwa mtogole tumauziwa Cha ten
Hivi ya 50000 na ya 10000 zinatofautiana kilevi?au ndo mjinga ndo aliwae?hata kama Una pesa,kitu cha buku unauziwa 15000 na we unatoa hela huku unakenua tu.kesho unataka rushwa na kumuibia mtanzania masikini ili uzipeleke tena bar.
 
Back
Top Bottom