Huu uzi zamani tuliutendea haki sisi wakongwe wa usiku wa manane. Ilikuwa ikifika alfajiri tunafunga geti tunahamia pengine. Ila nyie mmekuja hapa kuharibu mantiki ya huu uzi mnapiga kelele zenu tu huko kulana kimasihara na ujinga mwingine.

Sheenz, malparida.

Maghayo We ni umbwa
kuwa na adabu kijana by the way kwani hili jambo linakupa ugali au wali..?? kama halikupi mbona unawashwawashwa..?😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom