Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 855
- 2,110
Nipange mkuu tayari kwa kaziMje lindo muda umewadia
Nipange mkuu tayari kwa kaziMje lindo muda umewadia
Simama lango la mashariki, akifika Kichwa Kichafu asimame lango la kusiniNipange mkuu tayari kwa kazi
Noted mkuu, Kichwa Kichafu na onlyalviraSimama lango la mashariki, akifika Kichwa Kichafu asimame lango la kusini
Boss Boss. Heshima yako mkuu.Wananzengo hamjambo
Tupo mkuu tunazunguka zunguka hapa na pale kuhakikisha kila kitu kipo katika hali yake ya usalama.Kwani mko wapi?
Copy Sergeant Major.Simama lango la mashariki, akifika Kichwa Kichafu asimame lango la kusini
Nipo mkuu onlyalvira soon utamuona maana yeye ni popo nguli anatokea usiku mnene.
Karibu jamvini mkuu.
Shukrani kwa uwepo wako kiongozi.Nakabidhi Lindo
0041
0055Shukrani kwa uwepo wako kiongozi.