EwaaaaTulime mpunga...tutapata nauli.
Ha ha! Your not sure!.. haijalishi nitakuita mrembo tu kwakuwa u wakike basi umerembwa kwa nakshi mahususi..😉Meself!
Unanikumbusha mbali na hiyo mistari yako....Ha ha! Your not sure!.. haijalishi nitakuita mrembo tu kwakuwa u wakike basi umerembwa kwa nakshi mahususi..
Ha ha! Mbali wapi mamii..?Unanikumbusha mbali na hiyo mistari yako....
Kitambo tu...sio sehemu...Ha ha! Mbali wapi mamii..?
Nipo za kwako?Meghan good umepotelea wap..
Vile ulivyokuwa hot..? Au unakumbuka ulaghai wa maneno..?😜Kitambo tu...sio sehemu...
Sio ulaghai...mume wangu ndio anapendaga kuniandikia maneno hayo....Vile ulivyokuwa hot..? Au unakumbuka ulaghai wa maneno..?
Sijambo kaka....msalimie VinciYou are not meghan, poa lakini. Vipi ww Rowin
I think nimeona alichokiona au sivyo..?Sio ulaghai...mume wangu ndio anapendaga kuniandikia maneno hayo....
Jitahidi utakiona....I think nimeona alichokiona au sivyo..?
Wacha wee.. nafikiri itakuwa vyema Kama nikikiona ili nipate kuridhia bila kuwa na mikwaruzo Kama Simba mwenye kasi..!Jitahidi utakiona....
Vipi nikunyanganye huyu..???😜Lindoni kabaki rowin tu wewe na wengine mmejificha watu. Nilikuham
Fanya kunikabidhi bro..!Hata nikikuachia huwezi kumpata
Ha ha! Ngumu kwako kuelewa.. but let me make it easy just don't show negative..Mtu mzima hakabidhiwi, unamuomba!!