Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,232
- 188,794
Ahsante Slim
Ahsante Slim
Panya wananiamsha huku ndani kuliko majogoo .. wanatafuna kama wamewekewa malisho maalumu04:26
Dah...upo? Au ushachemka?Mambo Roho nzuri!, Roho mbaya mwachie shetani..
Kwani hii inazuia nini? Watu wamefichwa na weekend
Ndio wala sijakoseaSaa yako inasoma vizuri.?
Ishafika SAA hz 04:40 amUtajikuta hapo saa 1 ukijua saa 12
Kuiba nitajifunza, ila kutumia nimesha master🤣🤣Kuiba najua ss?!
Mmmmh na wasiwasi na wewe utakua kwenye tukio, maana haiwezekani mtu aimbe Bella Ciao Bella Ciao alafu ghafla na huduma za kifedha akatokea.Mi ni askari tena frontline mkuu😀