Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,614
- 67,078
nice nytDunia Hapana Aiseeee
Mpe ile sayari ingine,, mkaishi huko wawili tuuu
nakupenda sana dada angu wa nguvu
sleep well
nice nytDunia Hapana Aiseeee
Mpe ile sayari ingine,, mkaishi huko wawili tuuu
Heheheee makubwa umeshanimiliki jamani wakati hata mdogo wako hajaja kutafuna manenoSawaaaa wifi ake
Amina sanaBwana yesu asifiwe
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Wewe Siku hizi unakesha kama mtoto wa prepo... Nusu saa chaliiahsante kwa kunimiss
sku hzi viwango vya kukesha vina nipungua sanaa
HapanaPopo wotee chaliiiiiiiii, nipo mimi tuu
AmeenBwana yesu asifiwe
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Ahsante nkuu kwa nasaha zako mzuriMwanga unachomoza upe mda kidogo!
Morning..jaman good morning
ngoja nifue hapa nguo zangu
mida ndio hiii
Hapana mkuu wala hatujalala isipokua uchumi umekua dhaifu kiasi bando limekataNaona mmelala usingizi mnono
Duuuuh au ndo ulikuwa unaamka nn??Hapana
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Kwahiyo jana hajatokea jamankhaaa!
wewe na Manga mna dili gan?
huwa anakuja late kdogo
Kumbe hajatokea jana NeyManga akuje tuu maana shunie anamtafuta sana jamani
shunie hadi ana kesha sasa kisa Manga haonekani!
this tyme naukumbuka ule wimbo wa country sjui kaimba nan unaitwa 'it must be love'
Shunie ndio kaamua hivyo halali mpaka Manga aje
naomba utoe avatarNaona wanapishana ka tamthilia... Jana Manga kakesha akimuwinda Shunie.... Leo zamu ya Shunie, nahisi keshasinzia na simu mkononi
Na wewenaomba utoe avatar