Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,801
- 113,362
😂 unadhani hajui ni makusudi tu🤣🤣🤣mwambie huo ni mwanzo tu penzi likichuja huo usumbufu wa kukuwaza hautokuwepo
😂 unadhani hajui ni makusudi tu🤣🤣🤣mwambie huo ni mwanzo tu penzi likichuja huo usumbufu wa kukuwaza hautokuwepo
🤣🤣🤣🤣 Tena mwambie mapenzi ya sikuhizi huchosha na kuisha mapema mno.😂 unadhani hajui ni makusudi tu
To yeye lala basi inatosha...🤣🤣🤣🤣 Tena mwambie mapenzi ya sikuhizi huchosha na kuisha mapema mno.
Nothing is permanent
Mapenzi ya siku hizi yamelaaniwa kabla ya kuyaanza yalishajifia mda 😂🤣🤣🤣🤣 Tena mwambie mapenzi ya sikuhizi huchosha na kuisha mapema mno.
Nothing is permanent
🤣🤣🤣sad…..unajikuta tu unaruka majivu unakanyaga moto…..ila ndo maisha na maisha ni kupanga kuchagua🥴Mapenzi ya siku hizi yamelaaniwa kabla ya kuyaanza yalishajifia mda 😂
🤣🤣🤣🤣nini bhana niache nikeshe mwenzio…..kwani wamekufanya nini mkuu?🥴To yeye lala basi inatosha...
Nothing!!!!!!1:35
nothing is permanently Wicked world
We jamaa inabidi kesho ununue supu 2 kwa To yeye maana... mtafika usubui kwa staili hii?? mwonee huruma mwenzioMapenzi ya siku hizi yamelaaniwa kabla ya kuyaanza yalishajifia mda 😂
🤣🤣🤣 tulia weweee🤨 nami nafurahi nimepata kampani nawe wamfukuzaWe jamaa inabidi kesho ununue supu 2 kwa To yeye maana... mtafika usubui kwa staili hii?? mwonee huruma mwenzio
duh!!? Kesho utakuwepo kwenye uzi gani nikufatilie kama utakua na point muhimu... Jokes🤣🤣🤣🤣nini bhana niache nikeshe mwenzio…..kwani wamekufanya nini mkuu?🥴
Sidhan maana sitabiriki kuingia jf mkuuduh!!? Kesho utakuwepo kwenye uzi gani nikufatilie kama utakua na point muhimu... Jokes
Hamna sjamfukuza nami namepitia hapa. naona unatoa povu nkaona jamaa kama anakuonea..🤣🤣🤣 tulia weweee🤨 nami nafurahi nimepata kampani nawe wamfukuza
Povu gani tena mkuu….tunapiga story tu hapa wakati upiteHamna sjamfukuza nami namepitia hapa. naona unatoa povu nkaona jamaa kama anakuonea..
Fanya usumshukuru afu uone kama hutoboi.. Mungu amekubariki toka kitambo hata ukisahau kumshukuru anakucheki tu..01:44
Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi ya muda huu maana pasipo rehema zako sitoboi Jehova🙏🙏🙏
AminaFanya usumshukuru afu uone kama hutoboi.. Mungu amekubariki toka kitambo hata ukisahau kumshukuru anakucheki tu..
Usilale kaka nami nlikua napasha tu tuendelee na stori kaka😁😁😁😁Nipo leo nna hamu ya kulala ila usingizi umegoma kabisa sijui n nani ananiwaza.
01:20