mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,682
- 80,700
Nimekupenda bure.Aibu utaona wewe 😂
Nimekupenda bure.Aibu utaona wewe 😂
Ila kumbuka tu kua hao nyuki wanaweza kukuvimbisha sura kabla hata hujaifikia hiyo asali.Sheikh wangu huwa nakuambia sana kuwa asali tamu ipo kwa nyuki wakali tu!
Sweet honey comes with a sting!
Tafuta helaNishauri.
hii ndo wanaita ukweli mchungu?Tafuta hela
Hakuna mkate mgumu mbele ya imethibitishwahii ndo wanaita ukweli mchungu?
done😊Ndiyo maa 🤗
Nataka kula kiti moto
nakubaliana na wewHakuna mkate mgumu mbele ya imethibitishwa
Inafikirisha sana🤔Ila nampenda sana.
Napenda jinsi ambavyo haweki vitu moyoni mkigombana anakutukana, dk 0 ukimsifia mnakua marafiki.
Mambo yake kama teja🤣
Oya HB la JF.Inafikirisha sana🤔
umerukia hukuOya HB la JF.
Hahahaha 🤣Huu uzi mwanzoni nilifikiri watu hua wanachangia ndoto wanazoota usiku wa manane.
Winone tatizo lako ni ubishi! Nilikwambia tresor anakufaaPaid 50000.00 TZS to 255×××8402 Xxxxx. Charges Tsh 495.00 (Service charge Tsh 495.00 + Govt Levy Tsh 0.00). Balance 950,512.76 Tsh. TID:XX260824.1201.Z84795
Asante mkuu 🙏Nimekupenda bure.
tresor katoka kutuma advance kwa yule mamsi alompata JF alf akifika anamalizia 1oo ilobaki,Winone tatizo lako ni ubishi! Nilikwambia tresor anakufaa
Naogopa mahusiano. Kumshirikisha mtu mienendo yako si kazi rahisi ujue...Tafuta hela
Utachundatresor katoka kutuma advance kwa yule mamsi alompata JF alf akifika anamalizia 1oo ilobaki,
Wazo zuri. Juzi niliota nimekuwa mkurugenzi wa JF.Huu uzi mwanzoni nilifikiri watu hua wanachangia ndoto wanazoota usiku wa manane.
Hahahaha,wewe si umesikiliza ushauri wa mshauri, na Sasa hv nimelewa hii Simu wasiponipora zinaisha, hahahahatresor katoka kutuma advance kwa yule mamsi alompata JF alf akifika anamalizia 1oo ilobaki,
Usifikirie sana kichwa kitakuuma genius wangu.Inafikirisha sana🤔