Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,345
- 98,423
Hapana we endelea nae mshauri wako huyo ujuenimekoma kabisa, saiv na mimi nipo kwako ephen_ ataniponza
NB : za kuambiwa changanya na za kwako, hahahaha š¤£
Hapana we endelea nae mshauri wako huyo ujuenimekoma kabisa, saiv na mimi nipo kwako ephen_ ataniponza
š¤£š¤£š¤£Bey wa Mzizima, Bey wa kuchemsha.
Basi nisamehe sirudii tena kukuita pisi kali. Kuanzia leo ShesRise_1 ndo pisi kali.matusi hayo mwanetu
Hahahaha, ephen_ we ni kiboko unajua sana ,uko vzrNilikua natania tu! Tresor ni mwanaume wa shoka hana mbambamba
ndo nimeamua kuchanganya za kwangu saivi nimeona ephen ni mtu m baya simsikiliz tena nakuapiaHapana we endelea nae mshauri wako huyo ujue
NB : za kuambiwa changanya na za kwako, hahahaha š¤£
hapo sawaBasi nisamehe sirudii tena kukuita pisi kali. Kuanzia leo ShesRise_1 ndo pisi kali.
Hahahaha 𤣠ephen_ unakanwa hukundo nimeamua kuchanganya za kwangu saivi nimeona ephen ni mtu m baya simsikiliz tena nakuapia
Hapo zamani ilikuaje mpka iwe kuanzia sasa ?Basi nisamehe sirudii tena kukuita pisi kali. Kuanzia leo ShesRise_1 ndo pisi kali.
Karata ya mwisho unayo wewe ujuekesi ishakua ngumu hapa karata ya mwisho anayo homeG hebu aje ajaribu kuicheza vizuri
Hahahaha unamkana muda huu hata jogoo hajawika?usimuite sasa, mi nishakua wako achana na ephen
naona umedinda hautaki kutuelewa mimi na mshauri wanguKarata ya mwisho unayo wewe ujue
nimechoka kukuelewesha sasa aaahHahahaha unamkana muda huu hata jogoo hajawika?
Hahahaha š¤£naona umedinda hautaki kutuelewa mimi na mshauri wangu