mwambie huyo hakujuiNimezaliwa na kukulia uswahilini, hapa naona nabehave kama wakishua
Win una mikwara ya misosi!sijui kwanini kila nikila tikiti la moto napata kichefu chefu na kuhisi njaa muda huo huo
kwani unaogopa nini?mi uchi naficha na kuzaa nitazaa
Pregnancy test ✔️🤰sijui kwanini kila nikila tikiti la moto napata kichefu chefu na kuhisi njaa muda huo huo
usinichunguliekwani unaogopa nini?
hili liko wazi au mtoto ndo hataki maji ya tikitiPregnancy test ✔️🤰
Sawa, ila uswahili sio mzuri.Nimezaliwa na kukulia uswahilini, hapa naona nabehave kama wakishua
Jizaziiii siamini bana😂hili liko wazi au mtoto ndo hataki maji ya tikiti
sa tikiti sh 500 tu na wew😄😄 vizuri iko wapi hapoWin una mikwara ya misosi!
Unakula vizuri mwenyewee
Nitamnyonga na bubble gum mimi.mwambie huyo hakujui
Kitimoto jesa tikiti sh 500 tu na wew😄😄 vizuri iko wapi hapo
Kweli we mtoto. Kuna kipi cha ajabu kisichofahamika hapo?usinichungulie
nifanye nini uamini msichana mdogo😄Jizaziiii siamini bana😂
Najitahidi kuendana na nyie mabus ya njanoSawa, ila uswahili sio mzuri.
hiyo ndo siitaki kabisa nikila tumbo linajaa nabaki kubeua kama mbuzi, sitaki tenaKitimoto je
Mmmh!Pregnancy test ✔️🤰
mtoto mwenyeweKweli we mtoto. Kuna kipi cha ajabu kisichofahamika hapo?
Pole! Nina hamu na pilau la kondoo.hiyo ndo siitaki kabisa nikila tumbo linajaa nabaki kubeua kama mbuzi, sitaki tena