win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,467
- 35,437
nitakusaidia kuiviringa😄Nitamnyonga na bubble gum mimi.
nitakusaidia kuiviringa😄Nitamnyonga na bubble gum mimi.
GudubaiiiMmmh!
asanteee,,, mmmh mi nyama ya kondoo hata sikumbuki nimeila lini mara ya mwisho,, ila pilau nitaipika kesho nikitoka jobPole! Nina hamu na pilau la kondoo.
Niliona sehemu humu imetajwa basi madenda yamenijaa
Nataka kuona sms imethibitishwa 😊nifanye nini uamini msichana mdogo😄
Dah mshamba wa watu naambulia vibuti tu.mtoto mwenyewe
unaweza kuvifaham vya wengine lakini sio vyangu
Nitumie pilau kwa busasanteee,,, mmmh mi nyama ya kondoo hata sikumbuki nimeila lini mara ya mwisho,, ila pilau nitaipika kesho nikitoka job
bado haujasema mdogo wanguDah mshamba wa watu naambulia vibuti tu.
Una gundu! Sijawahi kuona hata mara 1 ukiitwa baby, naonaga unalialia tuDah mshamba wa watu naambulia vibuti tu.
nitakutumia kule kweny uzi wa chakulaNitumie pilau kwa bus
namba ni ile ile?Nataka kuona sms imethibitishwa 😊
Hahahaha, hili jukwaa linanipa Raha sanaTupo wengi tunaoenjoy.
Alisugggest mod flan... Baada ya Kuona natumia majina yangu matatu...Hivi hilo jina "Fake P" limetokea wapi?
Ndiyo maa 🤗namba ni ile ile?
Kuna mrembo wa kikurya nanyemelea.Una gundu! Sijawahi kuona hata mara 1 ukiitwa baby, naonaga unalialia tu
Mmmh! ustadhat jamani jamani.Ndiyo maa 🤗
Nataka kula kiti moto
Utarudi bila meno kama wale waliorudi mapengo toka South.Kuna mrembo wa kikurya nanyemelea.
Aibu utaona wewe 😂Mmmh! ustadhat jamani jamani.
Hunaga bahatiKuna mrembo wa kikurya nanyemelea.
Sheikh wangu huwa nakuambia sana kuwa asali tamu ipo kwa nyuki wakali tu!Utarudi bila meno kama wale waliorudi mapengo toka South.
Nishauri.Hunaga bahati