win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,564
- 35,912
hapana siwezi, hiyo naikataaUtachunda
hapana siwezi, hiyo naikataaUtachunda
Na wewe pisi kali wa JF.umerukia huku
Nisamehewe mimi! Napenda couple yenu mnaendanaHahahaha,wewe si umesikiliza ushauri wa mshauri, na Sasa hv nimelewa hii Simu wasiponipora zinaisha, hahahaha
zimalize kabisa ili upate nguvu ya kutafuta nyingineHahahaha,wewe si umesikiliza ushauri wa mshauri, na Sasa hv nimelewa hii Simu wasiponipora zinaisha, hahahaha
haupati kitu kashawahiwa huyo we rudi upande wangu tu😅Nisamehewe mimi! Napenda couple yenu mnaendana
Endelea na ushauriNisamehewe mimi! Napenda couple yenu mnaendana
Umejua kunikomesha!Endelea na ushauri
una uhakika hii quote ni yangu?Na wewe pisi kali wa JF.
Nimekukimbizia pedeshee hivihivihaupati kitu kashawahiwa huyo we rudi upande wangu tu😅
Hahahaha , wanasema ponda mali kufa kwajazimalize kabisa ili upate nguvu ya kutafuta nyingine
Ndio, unataka kubisha?una uhakika hii quote ni yangu?
mwambie ulikua unataniaUmejua kunikomesha!
matusi hayo mwanetuNdio, unataka kubisha?
Mie niko kwako ila si umeamua kusikiliza ushauri,sikilizahaupati kitu kashawahiwa huyo we rudi upande wangu tu😅
si ndio,, naomba nikutumie lipa no nikutunzie chache kabla haujazimaliza kwenye pombeHahahaha , wanasema ponda mali kufa kwaja
We endelea na KAZI yako ya ushauri masihara na si ushauri nasahaUmejua kunikomesha!
Bey wa Mzizima, Bey wa kuchemsha.2300hrs