Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,825
- 97,035
0229EAT🫡🫡
0229 hrs
Watu wasonge mbele.
0129CAT
0229EAT🫡🫡
0229 hrs
Watu wasonge mbele.
mida mibovuUsiku wa matisa
yeah unaweza kujikuta unapigwa kofi na mtu hata umuonimida mibovu
sawa sawayeah unaweza kujikuta unapigwa kofi na mtu hata umuoni
0411 EAT0406 Mwili legeza sasa
sawa sawaSaa 11:40 alfajiri
Mazoezi ni afya
Muda wa Wazee kuamka na kufanya japo mazoezi ya viungo 🤗
nikiona aidii mpya yenye kiswainglish nikushtue?Yule ban ilikua ni suala la muda! Mods wamemdekeza sana
Ila nampenda sana.Daah nimecheka kinyama.
Eti hawezi kuishi bila sisi.
Jamaa anapenda attention kuliko kula.
aah aah ukimsifia ndo vitu vyake hivyo.Ila nampenda sana.
Napenda jinsi ambavyo haweki vitu moyoni mkigombana anakutukana, dk 0 ukimsifia mnakua marafiki.
Mambo yake kama teja🤣
7upPepsi baridi au Fanta baridi ipi inafaa muda huu,tulivu