mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,728
- 80,845
Pole master.Dah,nilizimia now Niko agha khan pressure Iko juu sana,uniombee
Pole master.Dah,nilizimia now Niko agha khan pressure Iko juu sana,uniombee
Ngoja nione mie 😅saivi watakuja kivingine😄
Hahahaha 🤣, Ahsante 🙏 Mkuu,humu ndani pazuri sana ujue na enjoy sanaPole master.
Tupo wengi tunaoenjoy.Hahahaha 🤣, Ahsante 🙏 Mkuu,humu ndani pazuri sana ujue na enjoy sana
Una enjoy huku au kule?Tupo wengi tunaoenjoy.
teketeke mwenyewe mfyuuuuuuu 😏Unajifanya mgumu kumbe mtoto teketeke kabisa.
Naenjoy huku kwa win-oneUna enjoy huku au kule?
mi nataka tuchati kote kote huku na kule ili tusipoeHuo uzuri nautoa wapi? Hapa tusubiri wa manane kama kuchart tukachart kule
Muache asomeNaenjoy huku kwa win-one
unaenjoy nini ewe GenzeeeTupo wengi tunaoenjoy.
nani huyo aachwe asome?Muache asome
Akuache wewe usomenani huyo aachwe asome?
Kwani ni dhambi?teketeke mwenyewe mfyuuuuuuu 😏
Mkuu mimi sikuwa na shida, yeye ndo alinianza.Muache asome
mi sio mwanafunzi, unataka kuninyima nini mjepAkuache wewe usome
nilikuanza kwenye nini wakati wew ndo mchokoziMkuu mimi sikuwa na shida, yeye ndo alinianza.
kunata sawa ila kuwa teketeke hapan kwa kweliKwani ni dhambi?
Mtoto wa kike inabidi uteleze, unate.
Cha kukunyima mimi sina kwa kweli, nitaanzaje kumnyima mtoto mzurimi sio mwanafunzi, unataka kuninyima nini mjep
enyewe na mimi nilitaka kushangaa aseeCha kukunyima mimi sina kwa kweli, nitaanzaje kumnyima mtoto mzuri