tayali hapaTayari wapi sasa?
Ngoja nikavizie kule selfika, haiwezekanisina hata moja kaamua kunitukana kisomi😏
labda kama kuna mtu umemtagetNgoja nikavizie kule selfika, haiwezekani
Kijana nakuonya utapigwa juju ushindwe kuona shauri yako....Mtata cha uvunguni sharti ainame...
Nipo nainama mkuu.
unataka kuinama?Mtata cha uvunguni sharti ainame...
Nipo nainama mkuu.
Wewe huyo hakuna mwinginelabda kama kuna mtu umemtaget
sawa karibu tena sisi huwa tunakiwasha mda wowoteJamani nioikuwepo, nitarudi lindoni usiku wa manane🙌🙌
Wewe fasihi ulifeli weweunataka kuinama?
asipo kusikia na hapa basi shauri yake, hatuna msaada nae tenaKijana nakuonya utapigwa juju ushindwe kuona shauri yako....
Ebu muache shemeji yako huyo
sio kufeli yani hata kuisoma sikuwahiWewe fasihi ulifeli wewe
Haya basi ngoja nikufunze.sio kufeli yani hata kuisoma sikuwahi
ingia na viatuHodi hodi naingia..!
mi uchi naficha na kuzaa nitazaaHaya basi ngoja nikufunze.
Mficha uchi hazai. Unaijua hiyo?
punguza uswahili ephenHodi hodi naingia..!
Nimezaliwa na kukulia uswahilini, hapa naona nabehave kama wakishuapunguza uswahili ephen
Asanteeingia na viatu