mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
embu pima basi uniambiendo zinini mi sijaelewa😅
mimi 185cm usikute tunaendana kabisa tunaangaliana macho kwa macho
embu pima basi uniambiendo zinini mi sijaelewa😅
Natulia baby girl 😊sasa uneng'enekeeeeee tushindwe kwenda uturuki aseee nitakunyonga😏🥴
Utakuwa daktar muda si mrefu sio kwa misamiati hiyonimekuelewa nishatupia ka omeprazole na promethazine maana nahisi nausea ya hatari
Hapa ndo ubaya wenu ulipo. Mnapenda kitu na sio mtu.Mwache atoe si anayo wewe huna ndiyo maana unalalama
Umekunywa kweli, em achama mdomo utoe ulimi tuone kama hujazificha😁,nimekuelewa nishatupia ka omeprazole na promethazine maana nahisi nausea ya hatari
kwan uongo jamni😅😅😅 wew ndo shem wangu wa ukweli wengine wote tupa KuleUmenifagilia eti mi ni bonge la bwana🤣🤣🤣
Ndio maana dada yako huwa anataka kukugawa bure
Tena pale instambul kwenyewe🤣🤣sasa uneng'enekeeeeee tushindwe kwenda uturuki aseee nitakunyonga😏🥴
sasa hata tukiendana ndo tutafanya nini🤣🤣🤣,,, sawa nitapima then nitakupa majibuembu pima basi uniambie
mimi 185cm usikute tunaendana kabisa tunaangaliana macho kwa macho
Tafuta size yako kijana very simple 👌Hapa ndo ubaya wenu ulipo. Mnapenda kitu na sio mtu.
Na wewe ndio bonge la shem in town kwasasakwan uongo jamni😅😅😅 wew ndo shem wangu wa ukweli wengine wote tupa Kule
si ndiwo shem wangu🥰Tena pale instambul kwenyewe🤣🤣
😅😅😅😅mnanipa raha mieUmekunywa kweli, em achama mdomo utoe ulimi tuone kama hujazificha😁,
Tutakuwa tunakukumbusha kila siku unywe dawa,
aweeee mambo hayo,, chagua sanamu yako ijengewe wapi💃Na wewe ndio bonge la shem in town kwasasa
Jamani, we hutaki tufanye chochote?sasa hata tukiendana ndo tutafanya nini🤣🤣🤣
Goba city 🤣🤣aweeee mambo hayo,, chagua sanamu yako ijengewe wapi💃
utaweza kufanya?Jamani, we hutaki tufanye chochote?
say no mooooooo shem shem😅Goba city 🤣🤣
Nikikwama utanielekeza, nina imani wewe ni mwalimu mzuri.utaweza kufanya?
NakajuaUkija niambie Kuna kachimbo kapya kana Kachori pale Area D muda wote...😋😋