Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Ushauri wako homie,tufanyeje sasa 🤣🤣Hakika homie
Ushauri wako homie,tufanyeje sasa 🤣🤣Hakika homie
sema tu pole😅😅😅,,Unataka niseme nini love 🤣
Usishinde njaa kula on time mama sawa😊
Pole sana shem,nasikia huo ugonjwa ukicharuka sio poa,pole sanaulcers zinatesa jamni
Kwani wewe cm ngapi urefu? Mimi twiga mwenzako ujue😃japo nimemzidi mwili
sijawahi kupima ila ni mrefu, tunaweza kulingana ila kunizidi sidhaniKwani wewe cm ngapi urefu? Mimi twiga mwenzako ujue😃
Nimejifunza kitu kwenye maisha homie no matter what ni nini umewahi kupitia iwe positive au negativeUshauri wako homie,tufanyeje sasa 🤣🤣
Mnakula sana hela zetu. Hivyo vyenu tunavyovila mnabaki navyo.Muoneni huyu 🤣🤣🙌
Nimekupa jibu ambalo hukutarajia umeamua ukimbilie huku
Kijana nipo smart 👌
asant shem ake naomba zawadi ya mgonjwa😅Pole sana shem,nasikia huo ugonjwa ukicharuka sio poa,pole sana
Acha kutoa hela ki faller upunguze malalamiko eboooo!Mnakula sana hela zetu. Hivyo vyenu tunavyovila mnabaki navyo.
aloooo sasa yamekuja kwenye maisha yangu kutulia😅😅 sema yanakera kinyamaMadonda yatulie unayapa heka heka huko tumboni hutulii 😁
unatumia dawa za hospitali au miti shamba au bado hujaanza kutumia dawaaloooo sasa yamekuja kwenye maisha yangu kutulia😅😅 sema yanakera kinyama
mmmh, sawa sawasantee maah,, kumbe ni ulcers sio nanilii😅🤭
huwa natumia za hosp sema sifuatishi dose ni mpka niumwe kama hivi ndo nakumbuka dawa, yan sipendi kunywa dawa kabisaunatumia dawa za asili au miti shamba au bado hujaanza kutumia dawa
likaka li mbea hili😅😅mmmh, sawa sawa
Kweli kabisa homie, ukiwa mtu mzuri hata kizazi chako katika namna ya ajabu sana kinafanyiwa mazuri hata wewe ukiwa haupo hapa kwa duniaNimejifunza kitu kwenye maisha homie no matter what ni nini umewahi kupitia iwe positive au negative
Jifunze kua mtu mzuri
Mtu mzuri ana deserve kupata kilicho bora
Ukiwa na tabia mbaya na mtu mwenye kuumiza wengine karma is real
Dah! Unastahili viboko, yani dawa unazo ila hupendi kunywahuwa natumia za hosp sema sifuatishi dose ni mpka niumwe kama hivi ndo nakumbuka dawa, yan sipendi kunywa dawa kabisa
we hauelewi tu zinavyokaa kooni, yani zinanikaba😪Dah! Unastahili viboko, yani dawa unazo ila hupendi kunywa