JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kweli kabisa homie, ukiwa mtu mzuri hata kizazi chako katika namna ya ajabu sana kinafanyiwa mazuri hata wewe ukiwa haupo hapa kwa dunia

Karma is real homie,nimeshuhudia watu walioumiza wenzao kwenye maisha hakika mwisho wao haukuwa mzuri kabisa

Ndio maana kuna msemo unasema malipo hapa hapa duniani na akhera inaenda hesabu tu

Tuwe watu wema hapa duniani
Mwisho ya yote kabisa
moyo wenye upendo usiosambaza maumivu kwa wengine ndiyo moyo imara 💪
 
Back
Top Bottom