mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
Kwamba? Hata sijauona uzi...Nawish ingekuwa utani
Kwamba? Hata sijauona uzi...Nawish ingekuwa utani
Pole Mungu atakusaidia utaweza kuishinda usiwe na hofu mpendwa, jivike moyo wa ushujaa na matumaini kwa ajili ya uwapendao sawa maah😊Nawish ingekuwa utani
Kwamba? Hata sijauona uzi...
ushapitwa ila kwa ufupi ni anaumwaKwamba? Hata sijauona uzi...
Pole Mungu atakusaidia utaweza kuishinda usiwe na hofu mpendwa, jivike moyo wa ushujaa na matumaini kwa ajili ya uwapendao sawa maah😊
hebu usinichekeshe basi na mimi ndo nashangaa kwanz Mungu hawezi kuruhusu ufe ni amekupa kajaribu kadogo kupima imani yakoSina hofu hata
Inaniuma tu kidogo why nife na utamu wangu mapema hivi
Joanah kama huu ni utani hauchekeshi bwana.Kwamba nawaaga nina cancer
Nimeambiwa nina miezi miwili
Joanah kama huu ni utani hauchekeshi bwana.
kasema ni kweli sema nimepata uoga plus huzuni 😪 japo simfahamAmesema mwenyewe alikuwa anatania ?
jamni kwani imefikia stage mbaya sana?Kwanini uwe utani crushie? Sio utani nakufa nahisi masaa machache kutoka sasa
Sio itakuwa anatania maana anaweka jokes kwamba hataki kufa na utamu wakekasema ni kweli sema nimepata uoga plus huzuni 😪 japo simfaham
mwambie basi utani wa hivyo sio mzuriSio itakuwa anatania maana anaweka jokes kwamba hataki kufa na utamu wake
Imeisha hiyoKesho jua Kali, saa saba juu ya alama...bili ya mjep🤗🤗🤗..!
Kwa hiyo mali halali kabisa....Chief, toto zuri hilo limemaliza juzi tu.
Hakika ni mimi na tuseme amenHuyu atakuwa ndo yule aliyeimbwa na Dudu baya 🎶Nakupenda mpenzo usiependa doo🎶😁 ShesRise_1
Mwema kabisaa peeKama wewe hujali kuhusu hela basi utakuwa mwema sana.
Pee peeeeeeMwema kabisaa pee
Kama therujiPee peeeeee
Shikamoo boss mweupe peee kama tharujiKama theruji