win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,032
- 30,787
😅😅😅😅 akili huna,Nikikwama utanielekeza, nina imani wewe ni mwalimu mzuri.
😅😅😅😅 akili huna,Nikikwama utanielekeza, nina imani wewe ni mwalimu mzuri.
Muache asomeNikikwama utanielekeza, nina imani wewe ni mwalimu mzuri.
Hiyo size ikipata mwenye hela zaidi hiyoo inasepa.Tafuta size yako kijana very simple 👌
kwan ni mwanafunzi?Muache asome
Wakusoma huyo, anataka kumharibia fyuchakwan ni mwanafunzi?
Basi tafuta hela sana 😅Hiyo size ikipata mwenye hela zaidi hiyoo inasepa.
Unajua hata kama ME akiwa msaliti bado atawajibika kwa huduma mbalimbali.
KE hawajibiki kwa lolote.
walah sikua na taarifa😅😅Wakusoma huyo, anataka kumharibia fyucha
Chief, toto zuri hilo limemaliza juzi tu.Muache asome
jidanganye🤣Chief, toto zuri hilo limemaliza juzi tu.
Haya basi kama ni shida kunielekeza, tutamuuliza AI.😅😅😅😅 akili huna,
kama hauwezi kazi ya nini kufanya sasa😏Haya basi kama ni shida kunielekeza, tutamuuliza AI.
Kama wewe hujali kuhusu hela basi utakuwa mwema sana.Basi tafuta hela sana 😅
Kesho jua Kali, saa saba juu ya alama...bili ya mjep🤗🤗🤗..!Nakajua
Huyu atakuwa ndo yule aliyeimbwa na Dudu baya 🎶Nakupenda mpenzo usiependa doo🎶😁 ShesRise_1Kama wewe hujali kuhusu hela basi utakuwa mwema sana.
Sasa nikae hivi mpaka lini? Inabidi nitoe ushamba.kama hauwezi kazi ya nini kufanya sasa😏
Jitwalie mke mwema huyo.Huyu atakuwa ndo yule aliyeimbwa na Dudu baya 🎶Nakupenda mpenzo usiependa doo🎶😁 ShesRise_1
uzi wa Joanah umenifanya nimkumbuke Intelligent businessman sijui anaendeleaje huko aliko
na kwanini wameufuta au alikua anatania?
Amesema mwenyewe alikuwa anatania ?uzi wa Joanah umenifanya nimkumbuke Intelligent businessman sijui anaendeleaje huko aliko
na kwanini wameufuta au alikua anatania?