Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,340
- 95,724
Nimemka salama kabisaabee, umeamkaje tresor
Nimemka salama kabisaabee, umeamkaje tresor
basi vizuriNimemka salama kabisa
Abegooooo🤣jamni mbona unamtisha shem wangu kwan mi nina tatiz gani🤣
Vzr sana, jmos njemabasi vizuri
Yani usiwaze kabisa shem wangukwahiyo penzi bado lipo shanta shanta si ndio shem ake😢
Niliona ngoja Nitulie kwanza,maana ulikuwa wa moto sana yanikwahiy shem ulisubiri nisinzie alf ndo uje eeh
si ungenipooza tu shem ake😅Niliona ngoja Nitulie kwanza,maana ulikuwa wa moto sana yani
Hapa shem nimepata wallah, na ninavyo kupenda sasa,shem for life😘😘si ungenipooza tu shem ake😅
nakupenda pia shem🥰, japo jana umenitisha naomba usirudie kunipa janga la roho tena sipendi walah😔Hapa shem nimepata wallah, na ninavyo kupenda sasa,shem for life😘😘
Asante shem,pole sana,uwe na amani haitatokea tena shem wangunakupenda pia shem🥰, japo jana umenitisha naomba usirudie kunipa janga la roho tena sipendi walah😔
Ukija niambie Kuna kachimbo kapya kana Kachori pale Area D muda wote...😋😋Hapana! Tuliopo Dar halafu leo tupo ndani tunajiachia tu na kibaridi.
Kachori na nini kingine?Ukija niambie Kuna kachimbo kapya kana Kachori pale Area D muda wote...😋😋
Vingine vya kizungu zungu sijui kihindi...Kachori na nini kingine?
Basi hapo utamu kama woteVingine vya kizungu zungu sijui kihindi...
Ndo unavyoyarudigi hivyo?
Naona aibu kujibu huu wehu ...Ngoja nikaimbe na wananguNdo unavyoyarudigi hivyo?
Usikimbie bhana! Nataka nione kama unafaa kua kungwi wanguNaona aibu kujibu huu wehu ...Ngoja nikaimbe na wanangu
Watu wa nchini tarime na ukungwi wapi wapi?🤣Usikimbie bhana! Nataka nione kama unafaa kua kungwi wangu
Nyie si mnaendaga jando!Watu wa nchini tarime na ukungwi wapi wapi?🤣