ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,269
- 40,928
Haya sawa tulia sasa 😊sikui mpka mrudiane😅
Haya sawa tulia sasa 😊sikui mpka mrudiane😅
Hasikii la mkuu 🙌Huyo ndio win bhana
Yani we acha tu, hapoi wala haboiHasikii la mkuu 🙌
Subiri akirudi utajua hujui 😂Yani we acha tu, hapoi wala haboi
Hiyo come back yake Gen Z wasubiri daadekiSubiri akirudi utajua hujui 😂
Mie naondoka kabla haja amka 😂🏃♀️Hiyo come back yake Gen Z wasubiri daadeki
Aiseekwahiyo mimi nina kundu?
abee, umeamkaje tresor
kwahiyo penzi bado lipo shanta shanta si ndio shem ake😢Win nikuondoe shaka na kuwa na amani, mi na homie wangu tupo sawa kabisa sawa mumy
kwahiy shem ulisubiri nisinzie alf ndo uje eehHuyo ndio win bhana
jamni mbona unamtisha shem wangu kwan mi nina tatiz gani🤣Subiri akirudi utajua hujui 😂
Hapana! Tuliopo Dar halafu leo tupo ndani tunajiachia tu na kibaridi.🤗 Chapa vumbi umetoka rollcall..?
Hongera, wengine mapema tu tumakula vikaliHapana! Tuliopo Dar halafu leo tupo ndani tunajiachia tu na kibaridi.
Hahahahahii itakua ni njaa, hebu kanywe chai kwanza