ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,287
- 40,941
😂😂 una nini lakinihii kitu yako ya MB 9 ni nini mbona haifunguki au kwa kua natumia tecno?
😂😂 una nini lakinihii kitu yako ya MB 9 ni nini mbona haifunguki au kwa kua natumia tecno?
sawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoniHahahaha,kanakuja kakifika Pale Mtini,atakushtua, utoke ukapokee
Swadaktasawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoni
jamni nimeuliza kwa uzuri maana hiyo kitu kwangu haifunguki😆 au nimekosea yawa😂😂 una nini lakini
😂jamni nimeuliza kwa uzuri maana hiyo kitu kwangu haifunguki😆 au nimekosea yawa
Nakaribia kufika,hivi hapo NJE hkn CCTV camera KWELIsawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoni
😁nilikuwa sijui pole sana jirani, leo nasikia usingizi balaa naenda zangu kulala usiku mwema, nifunge mlango au unakuja 😎sasa mwingine mi nitamtoa wapi wakati nilikua nishamzoea kijana wa Bey na aliniahid kunipeleka uturuki nikaonane na familia yake😪 naumia haujui tu
Sema acha ninyamaze tu. Yaani nyani haoni ndukule kabisa.sasa huyo ndo wew😆
furaha yako unidharirishe nishakuona🥴
kwahiyo mimi nina kundu?Sema acha ninyamaze tu. Yaani nyani haoni ndukule kabisa.
Labda network maa 🥹furaha yako unidharirishe nishakuona🥴
usifunge nakuja jirani tuzungumze mstakabali wa penzi la shes na kijana wa Bey🤭😁nilikuwa sijui pole sana jirani, leo nasikia usingizi balaa naenda zangu kulala usiku mwema, nifunge mlango au unakuja 😎
Heee! Acha nikalale zangu sitaki shida.kwahiyo mimi nina kundu?
sio network tatizo ni sim😥, na bey ushamuacha si angeniletea Simu kutoka uturuki dah😪Labda network maa 🥹
Naanzaje baby girl
na usirudi nitakuokotea mawe shiyeeeenz wew😏😏Heee! Acha nikalale zangu sitaki shida.
😂😂😂 🏃♀️🏃♀️🏃♀️ hivi wewe hukui tusio network tatizo ni sim😥, na bey ushamuacha si angeniletea Simu kutoka uturuki dah😪
sikui mpka mrudiane😅😂😂😂 🏃♀️🏃♀️🏃♀️ hivi wewe hukui tu
Win nikuondoe shaka na kuwa na amani, mi na homie wangu tupo sawa kabisa sawa mumydosho12 jirani hivi unaelewa chochote kuhusu hawa wakina romeo Ertugrul Bey na julieth ShesRise_1 unifahamishe?
Huyo ndio win bhana😂😂😂 🏃♀️🏃♀️🏃♀️ hivi wewe hukui tu