Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,340
- 95,724
Win kamoyo kangu kanaenda mbili ❤️nafurahi pia kusikia hivyo
Win kamoyo kangu kanaenda mbili ❤️nafurahi pia kusikia hivyo
...Matapeli tu...😁 Usiku wa manane for lifeWajeda
lakini couple yenu ilikua inatubariki humu ndaniNyie hamuwezi kuelewa kuweni kama yule mchina tu 😂😂
Tunaelewa sisi tu sawa baby girl 🥰
opsss poleee sa kwanini ka moyo kako kanaenda huko?Win kamoyo kangu kanaenda mbili ❤️
Mmmh 🙌...Matapeli tu...😁 Usiku wa manane for life
Yaani wewe ndo hujatulia kabisa, unazurura kama njiwa pori.we kuweza?😏
mtafitie mwingine haraka kabla hawajushtukia uliwadanganya😁duh sa itakuaje na mimi nilikua nishaanza kuwatambia watu nina shem yupo mjini goba maskini a Mungu😔
malipizi sio?,, kwanza njiwa pori ndo yupoje mi sijawahi kumuona au unamaanisha kunguru?Yaani wewe ndo hujatulia kabisa, unazurura kama njiwa pori.
Wewe kumbe chizi😂😂duh sa itakuaje na mimi nilikua nishaanza kuwatambia watu nina shem yupo mjini goba maskini a Mungu😔
Hata sijui,kanataka kunisumbua tu na uzee huuopsss poleee sa kwanini ka moyo kako kanaenda huko?
Hafugiki huyo yaani ukimfungulia tu ni kibati.malipizi sio?,, kwanza njiwa pori ndo yupoje mi sijawahi kumuona au unamaanisha kunguru?
sasa mwingine mi nitamtoa wapi wakati nilikua nishamzoea kijana wa Bey na aliniahid kunipeleka uturuki nikaonane na familia yake😪 naumia haujui tumtafitie mwingine haraka kabla hawajushtukia uliwadanganya😁
mlete kwanza shem wangu hapa😆 la sivyo kitanukaWewe kumbe chizi😂😂
sasa huyo ndo wew😆Hafugiki huyo yaani ukimfungulia tu ni kibati.
poleee hebu kalete kwangu nikatibuHata sijui,kanataka kunisumbua tu na uzee huu
😂😂mlete kwanza shem wangu hapa😆 la sivyo kitanuka
,👏🙏, Ahsante sana,na kaleta fasta kapate tiba tulivu,nisifepoleee hebu kalete kwangu nikatibu
nakasubiri hapa nje kakifika tu nikapokee,👏🙏, Ahsante sana,na kaleta fasta kapate tiba tulivu,nisife
hii kitu yako ya MB 9 ni nini mbona haifunguki au kwa kua natumia tecno?
Hahahaha,kanakuja kakifika Pale Mtini,atakushtua, utoke ukapokeenakasubiri hapa nje kakifika tu nikapokee