win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,126
- 31,058
shem Ertugrul Bey mbona kimya? 😟
Hahahaha, Mambo yanaendajendio niko vizuri kabisa,,, sawa hamna shida soma tu
Sa kwanini mimi napitwa na mazuri haya?si ndio😅😅
poa kabisa,, vipi wew hukoHahahaha, Mambo yanaendaje
kwasababu unadhurula kama kuku wa kienyeji ni hautulii 😅Sa kwanini mimi napitwa na mazuri haya?
Mimi Niko poa kbs, nashangaa mitandaoni hapapoa kabisa,, vipi wew huko
nafurahi kusikia hivyo,, enjoy tresorMimi Niko poa kbs, nashangaa mitandaoni hapa
😂😂 dah ila we mtoto nakugawasa mbona shem anasema wachawi wa JF washakuroga😟
mi naipenda couple yenu naomba msiachane plzzzz
usinigawe kwanza hebu nijibu ni nini mbaya btn you two?😂😂 dah ila we mtoto nakugawa
Wala, ndo najua toka kwenye reply zakodosho12 jirani hivi unaelewa chochote kuhusu hawa wakina romeo Ertugrul Bey na julieth ShesRise_1 unifahamishe?
Thanks,Win, nipo hapa nikiona text zako nafurahi, napata na usingizinafurahi kusikia hivyo,, enjoy tresor
Wajeda🤗 Chapa vumbi umetoka rollcall..?
Nyie hamuwezi kuelewa kuweni kama yule mchina tu 😂😂dosho12 jirani hivi unaelewa chochote kuhusu hawa wakina romeo Ertugrul Bey na julieth ShesRise_1 unifahamishe?
Kivipi, fafanua kwa hoja kuu 6.kwasababu unadhurula kama kuku wa kienyeji ni hautulii 😅
duh sa itakuaje na mimi nilikua nishaanza kuwatambia watu nina shem yupo mjini goba maskini a Mungu😔Wala, ndo najua toka kwenye reply zako
Hakuna mbaya babeusinigawe kwanza hebu nijibu ni nini mbaya btn you two?
nafurahi pia kusikia hivyoThanks,Win, nipo hapa nikiona text zako nafurahi, napata na usingizi
we kuweza?😏Kivipi, fafanua kwa hoja kuu 6.