Kama ni wa sinza mwanangu umeisha😎Hamna kaka sio tea. Mimi sio Sinza yeye ndio Sinza.
Pole sana Mad Max, hope mmeshayamaliza sasaNakumbuka this day dada financial services nilimwambia nipo Juliana kuna kelele anaweza kua shahidi ila hii siku niliumia sana sana sana
Ime kaa vizuri , bahati mbaya hamna 2424!,2022
Hapa hamnaga story khaaaKutembelea-tembelea thread nyingi nao ni umalaya, Tulieni hapa
Genius Man
Pendaelli
Cassnzoba
kipanga85
Fake P
min -me
Vincenzo Jr
Fabian Vitus
Huwa wananifurahisha kwa kutaja mda tu,hawana mambo mengiHapa hamnaga story khaaa
Kwamba wa mwisho Ndo mshindiHuwa wananifurahisha kwa kutaja mda tu,hawana mambo mengi
Kuna mwamba mmoja niliona kakesha kwa kutaja kila saa,sijui ni mlinzi yule😂😂Kwamba wa mwisho Ndo mshindi