Hapa kuna macomrade, hakuna wavaa makubaziHapa hamnaga story khaaa
Afu ukute mchana yupo online na usiku nao daah aiseeKuna mwamba mmoja niliona kakesha kwa kutaja kila saa,sijui ni mlinzi yule😂😂
Hii nayo kazi ujueAfu ukute mchana yupo online na usiku nao daah aisee
Wapo kibao tena wakali kuliko wote humu 😊Rayns nyie wenyeji hakuna mademu humu?
😂😁😁
Una ntu ?0013 Maingate
Unademaje dikuelewi. MimiUna ntu ?
Kuna watu tumezidiwa uzuri na hiki kimbwa.......
Na kapua chake mwenyew.
na wewe ni mlinzi leo?Kuna watu tumezidiwa uzuri na hiki kimbwa.......
Nimekumis 😎Unademaje dikuelewi. Mimi
Huyo ndio byurifo onyinyeNa kapua chake mwenyew.
Lakini ndio kishakuwa kijibwa na manyoya kinayo. Binadamu ni wazuri zaidiKuna watu tumezidiwa uzuri na hiki kimbwa.......