Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 415
- 466
Tuko 00:36 am.. 👀
Tena kwa maji ya ChumviMida hii wadau tunabandika maharage
Anajua sina pa kwenda na yeye cake ndio maana anafanya ivo. Like anajua hawezi pitisha 1 day hajatongozwa..Mad Max nachoamini mimi huyo demu uko nae for 4 years.. Ila sio wa kwanza kwako, utapata mwingine. Kama binadamu Tambua kuwa lenye mwanzo Lina mwisho, ni muhimu kujua hili ili wakati unapofika usiweweseke. As a man just move on na mtoe akilini mwako na ufocus na mambo mengine. Ukimuweka akilini atakutesa sana, najua sio rahisi Kama navoeleza Ila Komaa utoke huko.
Huku tunasubir yaive tusonge ugaliTena kwa maji ya Chumvi
Jidada aliisha kulaza .😥
Umeyabandikia kwenye pressure cooker? Au kuni ?😁😁Huku tunasubir yaive tusonge ugali
Nitamsahau tuJidada aliisha kulaza .😥
Sio kwenye pasi kweli 🤣🤣🤣Umeyabandikia kwenye pressure cooker? Au kuni ?😁😁
Fanya magari yawe na nafasi kubwa kwako kuliko jidada. Mkuu 😥Nitamsahau tu
Huu uhuni sasa😁😂😂. Huyu mpishi atakua kwenye P. CookerSio kwenye pasi kweli 🤣🤣🤣
kwenye pasi mpaka asubuhi yameiva 😀😀😀Huu uhuni sasa😁😂😂. Huyu mpishi atakua kwenye P. Cooker
Kuni tuUmeyabandikia kwenye pressure cooker? Au kuni ?😁😁
Sisi hatunywi chai usiku marufuku.😂😂😂
Kwenye Chungu.🙂🙂 hapo sa nane na robo mnakula daku zenuKuni tu
Au bhasi yapikiwe kwenye heater 😃😃😃Sisi hatunywi chai usiku marufuku.😂😂😂
Sio breakfast na chapati… saa 12 asubuhi?Kwenye Chungu.🙂🙂 hapo sa nane na robo mnakula daku zenu
Leo Kuna mlinzi ameingia na kinywaji kichungu😂😂😂 nipe silaha nikushikie tafazariAu bhasi yapikiwe kwenye heater 😃😃😃