JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nakumbuka yule dada alisema: kwenu kuna mgonjwa nn maana izi dawa wanazitumia wagonjwa (kumbe wa akili) akiwa msumbufu anapewa ili alale
Nadhani Valium
Kesho yake simple tu asubuhi kama saa 4 akanitext..

Morning, umeamkaje, naenda driving


Uwa anasoma driving school...

Oya nimemtezt zaidi ya msg 100, calls zaidi ya 50 ila amejibu ivo asubuhi
Dah.. mwanangu. Hiyo pisi inaonekana mahusiano yenu anayachukulia poa sana… ukajibu nini?
 
Clearly nikajua amepata someone better than me, nimeumia sana kugiveup ila siwezi shidana, nna maisha magumu yasiongezeke kua magumu.... Nikagiveup kiswahili.. kuna watu waalisema nilinde brand nikasushe nikakausha.. ingawa nimeumia na naumia ila napambana hii vita kali..
 
Clearly nikajua amepata someone better than me, nimeumia sana kugiveup ila siwezi shidana, nna maisha magumu yasiongezeke kua magumu.... Nikagiveup kiswahili.. kuna watu waalisema nilinde brand nikasushe nikakausha.. ingawa nimeumia na naumia ila napambana hii vita kali..
Umefanya maamuzi ya kiume man.. utapata pisi ingine itakayo kuelewa wewe Kama ulivo..Kama cheleaman tu. ✌️
 
Amezidi kupendeza na kua mzuri mimi kinyume. Ingawa yeye anasema naonekana smart ila najua sio kweli kwasababu:

1. Juzi (this week) kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamesema Mad umekua rough, umekonda na nuru imepotea..

2. Mwanzoni mwa huu mwezi pia kuna mtu sijaonana naw like 2 montths alisema same
 
Asanteni na poleni kwa usumbufu..
Mad Max nachoamini mimi huyo demu uko nae for 4 years.. Ila sio wa kwanza kwako, utapata mwingine. Kama binadamu Tambua kuwa lenye mwanzo Lina mwisho, ni muhimu kujua hili ili wakati unapofika usiweweseke. As a man just move on na mtoe akilini mwako na ufocus na mambo mengine. Ukimuweka akilini atakutesa sana, najua sio rahisi Kama navoeleza Ila Komaa utoke huko.
 
Back
Top Bottom