JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah kweli sema ila tutafanyaje sasa ndo maana wengne wanauliwa kwa tamaa za kijinga mtu humpendi usile mali zake aisee
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mnajua mama zetu pia wanajuaga mapema sana kama pisi tuliopeleka nyumbani kuitambulisha kuwa sio kabisa yani ile kuwa hapa mwanangu kakosea kuchagua na tukipatia mama anajua huyu ni wa ukwel anakuambia hapa mwanangu umechagua sema vijana wengi huwa tuna ignore fellings na thoughts za wazazi wetu tunajuaga always mzazi anataka kuweka rohoo ngumu tu, lakini mara nyingi hao wanawake wanakujaaga kuwa wasumbufu pasua kichwa na saa zingine mpaka anakufanya ufilisike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SipeNDI kuoGA fundi bishoo
 
Hii ni kweli

Ila the risk of getting into a relationship ain't worth it

Ni kama biashara kwa karne hiii 🌀
 
Kaka nimehudumia mimba miezi tisa [emoji16][emoji16]kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE [emoji24][emoji24][emoji24]inaniuma saNa

Aisehhhh pole man, hii ni zaidia roho ngumu ,ni ujasiri gani mwanamke kufanya hivyo aisehhhh ndiyo maana wanaume tunafanyaga yale maamuzi yale yaleeeeeee[emoji379]

Sema nini piga chini huna haja kuingia kwenye mikosi kisa mwanamke uliempenda akakudharau,huwa wanakuja pata tabu sana chozi la mwanaume pia lina deni kwa mwanamke
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mnajua mama zetu pia wanajuaga mapema sana kama pisi tuliopeleka nyumbani kuitambulisha kuwa sio kabisa yani ile kuwa hapa mwanangu kakosea kuchagua na tukipatia mama anajua huyu ni wa ukwel anakuambia hapa mwanangu umechagua sema vijana wengi huwa tuna ignore fellings na thoughts za wazazi wetu tunajuaga always mzazi anataka kuweka rohoo ngumu tu, lakini mara nyingi hao wanawake wanakujaaga kuwa wasumbufu pasua kichwa na saa zingine mpaka anakufanya ufilisike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SipeNDI kuoGA fundi bishoo
Dah n kweLi mfaNo kuna mmojA umu aliwah kutoa thread alimpeleka mwanamke wake ukwen mshuwa wake akamuambia apa umekosea Mwanngu
 
Hahaha 🤣😂. We ngoja Wanao triplets waanze kulia usiku huuu sijui utawaambia singeli au amapiano.

#kataa ndoa ndoa ni utapeli #
We mchawi niniii umejuajee😂😂😂
Kifaranga kimoja kinasumbua hapaa.. 😢😢nimetoka nacho mbali kisije amsha wenzie apa nawaza nikipe kilambe lambe jaguarmaster kilale looh😂😂😂
 
Tunzaaa vifaranga vyako dada
Sema kuwa mama ni kazi duuh

Mungu akutie nguvu aseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤺
 
Back
Top Bottom