Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,565
- 47,017
Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa.Leo nimeingia Kariakoo,aisee ile nyomi sio ya nchi hii,watu ni wengi halafu hakuna tahadhari kabisa,kama corona ipo basi tumuombe Mungu tu
Kuna bingwa yupo humu jf anatafsiri ndotoNdio mpaka upate mtafasiri sasa
Najipimia chakula
Watu wanaamini imeisha,hata uvaaji wa barakoa hamna, wanasikiliza maneno ya mkuuWengi wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Shida sio kujipimia chakula, shida ni mwili umekaa bila mazoezi na kasi kasi za kuupunguza mafutaNajipimia chakula
Imenifaaa sanaWe want to bring back the reading culture.
Sources, telegram, drives, personal libraries
Our content are free
Magazines
Comics
Novels
Educational
Ebooks
Audio_Books
E-BOOKS GLOBAL LIBRARY
Ndio mkuu mim ni Gemini, kwani na ww ni Gemini pia?Super Villain said:Kwahiyo ww ni Gemini pia? Hiyo dark mode ya web sijavutiwa nayo kabisa
Andaa na nyungu...kabisa
Mazoezi ruksa...Shida sio kujipimia chakula, shida ni mwili umekaa bila mazoezi na kasi kasi za kuupunguza mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiamini maneno ya wanasiasa mkuu.Watu wanaamini imeisha,hata uvaaji wa barakoa hamna, wanasikiliza maneno ya mkuu
Pamoja mkuuIceberg9 said:Kishua zaidi
Yeah ni Gemini alafu cha ajabu rafiki zangu wengi ni Gemini sasa nakula tu keki huu mwezi.Ndio mkuu mim ni Gemini, kwani na ww ni Gemini pia?
Halafu hii dark mode mi nmevutiwa nayo usiku coz haiumizi macho.