Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
🙋
🙋
Ndio mpaka upate mtafasiri sasaNdoto huwa kuna vitu utuelezea sema wengi tunachukulia simple tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia mkuuHabari za kipindi kilichopita walinzi.?
Nawatakia Eid njema
Kila kitu kina side effect wanasemaga "too much things is harmful"
😂😂Alfaidhinah ukiona kimya ujue sina
Unajikuta unakojoaSema kuna ndoto zile unaota unakimbizwa zile huwa nakumbuka kilichotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile za kipuuzi unakumbuka kila kitu,ila ndoto za maana details zinafutikaSema kuna ndoto zile unaota unakimbizwa zile huwa nakumbuka kilichotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo huku Kitulo....karibu😂😂
Usijitetee nasubiri mualiko
Pamoja mkuu, whacha tuwaunge mkono wenzetu ila please muwe makini maana corona bado ipo. Tuendelee kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.Na kwako pia mkuu
Na kwako piaHabari za kipindi kilichopita walinzi.?
Nawatakia Eid njema
Ndiyo wapi huko?Nipo huku Kitulo....karibu
Leo nimeingia Kariakoo,aisee ile nyomi sio ya nchi hii,watu ni wengi halafu hakuna tahadhari kabisa,kama corona ipo basi tumuombe Mungu tuPamoja mkuu, whacha tuwaunge mkono wenzetu ila please muwe makini maana corona bado ipo. Tuendelee kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
Unajikuta unakojoa
Andaa na nyungu...kabisa
We want to bring back the reading culture.