JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilishawahi kuisikia hii, eti kabla yakuanza kunywa wanabana suruali kwenye miguu[emoji23][emoji23]
Sasa starehe gani hiyo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hiyo kuna mnyama Verve ukinywa kwa pupa anakukausha maji na unarudisha namba mapema sana.

Sent using [emoji106]
 
Baada ya Korona mwaka 2023 watoto wakiitwa majina shuleni:
1. Covid Shekorona
2. Karantin Chuwa
3. Barakoa Nchimbi
4. Mwantumu Barakoa
5. Sanitaiza Sanga
6. Lockdown Julius
7. Wuhan Joseph
8. Mkaratusi Atufigwegwe
9. Mwarobaini Kibiriti
10. Fusho Mwakibinga.
11. Nyungu Alex
12. Funikiza Adam
13.Infifiro bishop.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom