Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
Nashukuru, ulale salama pia.Ndio time yangu hii sleep well [emoji120]
Sent using [emoji106]
Nashukuru, ulale salama pia.Ndio time yangu hii sleep well [emoji120]
Nimeikumbuka hiyo pombe watu wakinywa wanarudisha chenji nyuma inaitwa pingu kama sijakosea😂😂Hakika, ila unafikiri ukitoa somo watakuelewa basi. Ila ndo hivyo kila mtu ana njia zake.
Hata sijui naijuaga hyo tu,na kitoko, sjui tingisha mengine nayaskiasikia woooiIna 10% japo nazo zimekuwa na brand tofauti tofauti kuna kaushindani flani nyingine zinaitwa 'Faru'
Sent using [emoji106]
Pamoja mkuu upumzike kwa amani.[emoji336]3%
Niwatakie lindo jema wakuu
Nn
Hivi unajua pombe kali nyingi zinakausha maji? Kama mwili wako uko vizuri na ubongo unarespond haraka lazima utasikia kiu baada ya kunywa kinywaji chochote kikali
Am talking by experience
Hapo huna jinsi maana si nzuri kutumia simu ukiwa unaicharge chini ya 30%📱3%
Niwatakie lindo jema wakuu
Unatafuta pesa kwa shida na unatumia kwa shida vilevile. 😀😀😀Nimeikumbuka hiyo pombe watu wakinywa wanarudisha chenji nyuma inaitwa pingu kama sijakosea😂😂
Yeah but unakuta mtu mpaka anazima haha. Binafsi nishawahi kuzima nikiwa ndani kwangu😀😀
Nlifanya field ustawi temeke ilikua raha sana
Kitoko[emoji28][emoji28] aise umenikumbusha maisha ya nyuma kidogo.Hata sijui naijuaga hyo tu,na kitoko, sjui tingisha mengine nayaskiasikia woooi
Hapo sasaUnatafuta pesa kwa shida na unatumia kwa shida vilevile. 😀😀😀
I heard kwa friends wanywaji kua k vant inapoteza kumbukumbuHivi unajua pombe kali nyingi zinakausha maji? Kama mwili wako uko vizuri na ubongo unarespond haraka lazima utasikia kiu baada ya kunywa kinywaji chochote kikali
Am talking by experience
Yaaaaaaaah 'Pingu'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeikumbuka hiyo pombe watu wakinywa wanarudisha chenji nyuma inaitwa pingu kama sijakosea[emoji23][emoji23]
Yeah but unakuta mtu mpaka anazima haha. Binafsi nishawahi kuzima nikiwa ndani kwangu[emoji3][emoji3]
Kwako piaKitoko[emoji28][emoji28] aise umenikumbusha maisha ya nyuma kidogo.
Niwatakie usiku mwema wakuu.
Sent using [emoji106]