Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
Nima kweli kweli[emoji28][emoji28]Hahahaha, shayo haachi hela, na dawa ya mbu anakupa
Sent using [emoji106]
Nima kweli kweli[emoji28][emoji28]Hahahaha, shayo haachi hela, na dawa ya mbu anakupa
Huko si kuna corona mpk wabunge baadhi wanakimbiaNaelekea Dom
Nilishawahi kuisikia hii, eti kabla yakuanza kunywa wanabana suruali kwenye miguu😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sio hiyo, nimesahau jina la pombe wanayojisaidia hapo hapo Ila nayo ni jamii ya kina banana.
Sent using [emoji106]
Nakutakia Safari njema ufike salama [emoji120]Naelekea Dom
I digBeing good in everything is merely impossible to human being
Mi atakuwa wa kwanza😊Humu mtu unaweza kupata mke wa tatu hivi hivi kimzaha mzaha.
😂 😂 😂 😂 😂Siku hizi wanapima mpaka double kikosini Yaani wabongo kwa kurahisisha mambo😂😂
Mwisho wa nne labda uwe kimada wangu, na hili pia si jambo jema kabisa.Wakifika 6 sema nijiweke wa7 bila hiyana
Ukifika Moro stand ya Dom nishtue nikupungie hata mkono[emoji28]Naelekea Dom
Saiz tunapambania kuvuka hii 2020 tu.Kabisa mkuu mimi nishajitoa kwenye list mapema.
Sent using [emoji106]
Kwani skuhizi ina alcohl percentage?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sio hiyo, nimesahau jina la pombe wanayojisaidia hapo hapo Ila nayo ni jamii ya kina banana.
Sent using [emoji106]
Huo ni udhaifu mkubwa, unakuwa na mke mmoja kama tochi mzee, likiharibika tochi mpaka upeleke kwa fundi.Mi atakuwa wa kwanza😊
SureI dig
Ur rightOnce you do it never look back expecting for a return
Wahenga wa kibeberu wanasema die for what you love.[emoji23][emoji23][emoji23]wanabalaa wale unakuta kijana mzuri kachoka kama nn sijui
Safi.
😀😀Ukifika Moro stand ya Dom nishtue nikupungie hata mkono[emoji28]
Sent using [emoji106]
Ushakosa mke mm ssMwisho wa nne labda uwe kimada wangu, na hili pia si jambo jema kabisa.
Sasa amekunywa pombe na kujisaidia unategemea anukie?😂😂Kwani skuhizi ina alcohl percentage?!
M nakumbuka zamani watu wakinywa 2+ wanajisaidia
Sema wengi wao hua wananuka balaaa