Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
Sawa sawa mkuu nimekupata.Daku hanyimwi MTU km iftar tu
Sent using [emoji106]
Sawa sawa mkuu nimekupata.Daku hanyimwi MTU km iftar tu
Mbuzi, yule aliyekutwa na covid...namuuza kwa bei ya punguzo kulingana na hali yake ya kiafya. 😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] We mzee ww kwahiyo ww umekuja na mfugo gani sasa hapa?
Dogo kakalisha watu wanasubili daku wacheze bila kinyago yeye kachomeshaDah ishakula kwetu
Jioni saa 10 umelala [emoji15]Kama kulikuwa na mawingu mvua nitakuwa nilikuwa usingizini
[emoji23]tafuta wana wanotumia hayo mavitu uwaone wanavyohangaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanifurahisha sana leo
Pita hata flomi [emoji23][emoji23][emoji23] tu hapo.[emoji28][emoji28][emoji28]balaaa mkuu mambo yote yanaishia getto.
Sent using [emoji106]
Eeh Sasa si umeona hali ya hewa ilikuwa yaruhusu Mimi kulalaJioni saa 10 umelala [emoji15]
Yaani we ukishaona stimu inauzwa 200, ndo basi tena. Hamna kitu hapo...😂😂😂😂[emoji23][emoji23]kama tambuuu wanaboa sana wale watu bora pariki wanamezaga tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fala sana ww mm niko na kitimoto hapa [emoji200]Mbuzi, yule aliyekutwa na covid...namuuza kwa bei ya punguzo kulingana na hali yake ya kiafya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaNingejua wadhani ningekuwa hapa Sasa..sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitakutania nao boma[emoji23]tafuta wana wanotumia hayo mavitu uwaone wanavyohangaika
Kutwa midende imewajaa mdomoni,
Kutwa kwa wamasai kununua ugoro
[emoji23][emoji23][emoji23]200 na konyagi ya jero yakupima basi kila saa watu wanahangaika sema vijana wanatabu sanaYaani we ukishaona stimu inauzwa 200, ndo basi tena. Hamna kitu hapo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo utakesha sasa [emoji23][emoji23]Eeh Sasa si umeona hali ya hewa ilikuwa yaruhusu Mimi kulala
Aaah mjomba ile mitaa ya watu wazito wao nyagi ndogo wanauza bei ya jibapa bado sijafikia level hizo[emoji28][emoji28][emoji28]Pita hata flomi [emoji23][emoji23][emoji23] tu hapo.
Eeeh ukawaone kwa kweli wanakuaga kama vichaaa mateja wananafuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitakutania nao boma
Virahisi vina madhala yake[emoji23][emoji23][emoji23]200 na konyagi ya jero yakupima basi kila saa watu wanahangaika sema vijana wanatabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza acha simu na wallet pale.Aaah mjomba ile mitaa ya watu wazito wao nyagi ndogo wanauza bei ya jibapa bado sijafikia level hizo[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using [emoji106]
Navyojiona leo si mtu wa kukesha kabisaLeo utakesha sasa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjinga sana ww.Eeeh ukawaone kwa kweli wanakuaga kama bichaaa mateja wananafuu